Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tanzania Mpira wa Miguu

Simba kuachana na Ubingwa wa Ligi Kuu Bara leo

Simba kuachana na Ubingwa wa Ligi Kuu Bara leo Rekodi haziongopi na leo zinakumbusha kitu kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayochezwa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini hapa kati ya Simba na wenyeji, Mlandege kuanzia saa 2:15 usiku. Ni hivi kwa mujibu wa rekodi za miaka kumi iliyopita, bingwa wa Mapinduzi hakuwahi kutetea wala kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Yanga ilijaribu mara moja tu mwaka 2007 ikabeba kotekote na gundu likaanza tangu mwaka 2008. Rekodi hizo zimeibua maswali kwa baadhi ya wadau haswa wa Simba ambao wamepania kubeba ubingwa mbele ya Mlandege huku dhamira kubwa ikiwa ni taji la Ligi Kuu Bara. Swali ni je, » Read More

Jan 13
Baba Mkwe afunguka Ndoa ya binti yake na Sadio Mane
Azam kumtangaza Mcolombia mwingine
Tariq asaini mmoja Prisons, aweka vita nzito kwa mastraika
Lule kuongeza nguvu Ihefu
Pacome, Yao nje ya uwanja kumbe wapo hivi...
CAF kufuta Kombe la Shirikisho
Cole Palmer amejipata Chelsea
Lingard amtimua Wakala wake kwa kushindwa kumtafutia Timu
Hafiz Konkoni atajwa Ihefu
Mashabiki wa Napoli wasafiki kwenda kumuona Osimhen AFCON
Nkane ageuka dili Dirisha dogo
Mchezaji asafiri kwa ndege kwa dakika 8 kwenda mazoezini kila siku
Yemi Alade kupiga Shoo uzinduzi wa AFCON
Tiketi zinakimbia fasta fainali Mapinduzi
Ibrahim Ame atua Mashujaa FC
 
» More Soccer News