Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nkane ageuka dili Dirisha dogo

Nkane Denis Dd Denis Nkane

Sat, 13 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Mashujaa imeingilia kati dili la kuipata huduma ya mkopo ya winga wa klabu ya Yanga Denis Nkane.

Klabu ya Mashujaa imeingilia kati dili la kuipata huduma ya mkopo ya winga wa klabu ya Yanga Denis Nkane. Huku pia Vilabu vya Dodoma Jiji na Coastal Union navyo vikisubiri maamuzi ya winga huyo ambaye mpaka sasa hajaamua ataelekea klabu gani!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: