Sat, 13 Jan 2024
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Klabu ya Ihefu imeanza mchakato wa kuipata saini ya mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Hafiz Konkoni katika dirisha hili dogo la uhamisho la msimu huu.
Hafiz Konkoni ameshapewa taarifa na klabu ya Yanga kuwa anahitajika kutolewa kwa mkopo raia huyo wa Ghana.
Ihefu wanataka kuimarisha kikosi chao na wanapambana kuinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Hafiz Konkoni katika dirisha hili.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: