Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga watua Addis Ababa

Yanga Ethiopia Msafara wa Kikosi cha Yanga

Thu, 12 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga SC wamewasili salama mjini Addis Ababa tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili dhidi ya CBE.

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga SC wamewasili salama mjini Addis Ababa tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili dhidi ya CBE. Yanga SC itashuka uwanjani keshokutwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Abebe Bikila, jijini Addis Ababa kuvaana na CBE kabla ya kurudiana nao wiki ijayo na mshindi wa jumla kutinga makundi, Yanga ikitaka kuandika rekodi ya kufika hatua hiyo kwa mara ya pili mfululizo baada ya msimu uliopiota kutinga baada ya miaka 25 kupita na kwenda hadi robo fainali kabla ya kutolewa na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: