Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vifo ajali ya mafinga vyafika 19, Polisi wathibitisha

Ajali Iringa Eneo la ajali.

Fri, 10 Jun 2022 Chanzo: Tanzania

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa Watu 19 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Costa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo karibu na eneo la Changarawe, Mafinga mkiani Iringa leo Juni 10, 2022.

Akithibitisha kutokea ajali hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema ajali imesababisha vifo zaidi ya 10 akisema kuwa taarifa zaidi zitatolewa baadaye.

"Ni kweli ajali imetokea na inasadikika watu zaidi 10 wamepoteza maisha papo hapo," amesema.

Chanzo: Tanzania
Related Articles: