Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vurugu bandari ya Sudan huku maelfu wakiharakisha kuondoka nchini

Vurugu Bandari Ya Sudan Huku Maelfu Wakiharakisha Kuondoka Nchini Vurugu bandari ya Sudan huku maelfu wakiharakisha kuondoka nchini

Mon, 1 May 2023 Chanzo: Bbc

Port Sudan inaendelea kuwa bandari muhimu katikati ya mzozo wa Sudan. Mwandishi mkuu wa BBC wa kimataifa Lyse Doucet amejiunga na shuhghuli ya hivi karibuni ya uokoaji wa watu wa hivi karibuni kutoka Sudan hadi Jeddah

Katika usiku wa manane,huku meli ya HMS Al Diriyah ikikaribia mwambao wa Sudan, maafisa wa Saudia wanawasha taa ili kuwasaka na kuwaokoa wasafiri kwa kutumia meli yao ya kivita ambayo ilibadilishwa haraka kuwa chombo kikuu cha uokozi na cha shughuli za kibinadamu katika mzozo unaendelea kuongezeka wa Sudan.

Ingawa ilikuwa nis aa nane usiku meli nyingine mbili pia zilikuwa zinatia nanga kwenye mwambao katika bandari ya Port Sudan, ni bandari kubwa zaidi, zikisubiri muda wao katika juhudi hizi za kimataifa za uokozi.

"Ninajihisi kuwa mwenye ahueni lakini pia nahisi huzuni kuwa sehemu ya historia hii," ananiambia Hassan Faraz kutoka Pakistan, huku akionekana kutetemeka. shaken.

Tuifika Saudia mwisho wa safari iliyotuchukua saa 10- katika safari iliyokuwa ya usiku mzima katika meli ya HMS Al Diriyah kutoka bandari ya mji wa Saiudia wa Jeddah.

Kikundi kidogo cha waandishi wa habari wa kigeni kilipewa fursa ya nadra ya kuingia ndani yan chi iliyokumbwa na vita ya Sudan, mwa muda mfupi.

"Watu watakuwa wakizungumza kuhusu matukio haya kwa miaka mingi inayokuja," Faraz alikumbuka, huku msururu mrefu wa watu waliojipangakwa ajili ya ukajguzi wa paspoti zao kwa ajili ya kuingia Saudia.

Mara hii walikuwa wengi ni vijana wafanyakazi kutoka Kusini mwa Asia ambao walisema wamekuwa wakisubiri hapa kwa siku tatu - baada ya wiki mbili ngumu wakiwa ndani ya mapigano.

Mapigano ambayo yaliibuka katika wiki za hivi karibuni nchin Sudan, yameendelea licha ya pande zinazohasimiana kuweka muda wa kusitisha mapigano.

Chanzo: Bbc
Related Articles: