Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tawi la Benki Kuu Sudan lalipuliwa, lateketea kwa moto

MOTO BENKI KUU Tawi la Benki Kuu Sudan lalipuliwa, lateketea kwa moto

Mon, 1 May 2023 Chanzo: Bbc

Video imeonekana ikionyesha tawi la Benki kuu ya Sudan likiungua moto huku mapigano yakiendelea kote mjini Khartoum.

BBC haijaweza kuthibitisha tarehe ambayo picha hii ya video ilichukuliwa.

Jumapili, mashambulio ya anga yaliongezeka katika mji huo licha ya kufikiwa kwa makubaliano yaliyolenga kuwaruhusu raia kukimbia.

Jeshi lilisema kuwa linaushambulia mji ili kuwatimua mahasimu wao wa jeshi la dharura - Rapid Support Forces (RSF).

Chanzo: Bbc
Related Articles: