Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Burna Boy apata ajali

Burna Boyyy.jpeg Burna Boy apata ajali

Sun, 27 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Nguli wa Nigeria Burna Boy amethibitisha kupata ajali usiku wa wa leo akiwa na gari yake aina ya Ferrari aliyonunua siku za hivi karibuni.

Msanii Nguli wa Nigeria Burna Boy amethibitisha kupata ajali usiku wa wa leo akiwa na gari yake aina ya Ferrari aliyonunua siku za hivi karibuni. Kupitia ukarasa wake wa Instagram, Burna Boy amesema kuwa anaendelea vizuri licha ya kupata maumivu kwenye mguu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: