Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Picha: Matukio mbalimbali katika zoezi la kuaga mwili wa Lowassa

Mwinyi Lowassa Mpango Matukio mbalimbali katika zoezi la kuaga mwili wa Lowassa

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, ambapo hii leo Februari 13, 2024 anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: