Menu ›
Habari
Tue, 13 Feb 2024
Chanzo: Mwananchi
Safari ya kilomita 987.8 inayochukua takriban saa 16 kwa gari, haikuwa kikwazo kwa Melle Madandu, kutoa salamu za mwisho kwa Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa jijini Dar es Salaam.
Melle, aliyefunga safari kutoka Kagongwa mkoani Shinyanga hadi Dar es Salaam kutoa salamu za mwisho kwa Lowassa, anasema aliyofanyiwa na mwanasiasa huyo ndiyo yaliyomsababisha afunge safari hiyo.
Kulingana na mwanamama huyo, mwaka 2006 Lowassa alimsaidia ada ya masomo ya chuo kikuu ya mwanaye, ambaye awali hakuwa na tumaini la kuhitimu elimu hiyo ya juu.
Chanzo: Mwananchi
Related Articles:
- Kisa cha Diana Chilolo kufuta namba ya Lowassa
- Tazama hapa msafara wa mwili wa Lowassa ukipelekwa Karimjee
- Shein, Sumaye waeleza uchapakazi wa Lowassa
- Picha: Matukio mbalimbali katika zoezi la kuaga mwili wa Lowassa
- Fredy Lowassa: Asingekuwa Rais Samia, baba asingefika juzi
- Read all related articles