Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nape afichua alichoelezwa na Lowassa baada ya Uchaguzi 2015

Nape X Lowassa Nape afichua alichoelezwa na Lowassa baada ya Uchaguzi 2015

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati akisimama na kutoa matamshi makali juu ya aliekuwa mgombea Urais wa UKAWA, Edward Lowasa katika kampeni za uchaguzi za mwaka 2015.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amefichua neno aliloambiwa na Lowassa mara tu baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.

Kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii Nape ameandika;

“Nape, tumepishana kwenye siasa, lakini napenda mtu anayesimamia anachoamini hasa kwa umri wenu” Haya yalikuwa maneno ya Edward Lowassa tulipokutana mara tu baada ya uchaguzi wa 2015! PUMZIKA KWA AMANI KIONGOZI!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: