Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda afika msibani kwa Lowassa

Makonda Msiban Kwa Lowassa 2 (600 X 426) Makonda afika msibani kwa Lowassa

Mon, 12 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KWA UFUPI: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Paul Makonda ni miongoni mwa Viongozi waliofika msibani nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa, Masaki mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha kiongozi huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: