Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chris Rock: "Sitaongea sakata la Will Smith kunipiga kofi hadi nilipwe

Smith One Chris Rock alivypigwa kofi

Mon, 11 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchekeshaji Chris Rock amesema hatozungumzia sakata la kuchapwa kibao na Will Smith hadi pale ambapo atalipwa pesa. Mchekeshaji huyo alizungumza hayo mbele ya wahudhuriaji wa onesho lake juzi Ijumaa, ambapo alisema

“Mimi niko sawa, nina hii show nzima, lakini sitaongelea kuhusu hilo hadi pale ambapo nitalipwa. Maisha ni mazuri, nimerudisha hali yangu ya kusikia.” alikaririwa Chris Rock.

Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ, wameichambua kauli hiyo na kusema kwamba pengine Chris Rock anataka kulipwa pesa ndefu kwa ajili ya kufanya mahojiano maalum kuhusu tukio lile. Au pia ana mpango wa kufungua kesi dhidi ya Will Smith ambapo atalipwa pesa ndefu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: