Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

50 Cent: Adhabu ya Will Smith ni kubwa mno

50 Cent Smith.jpeg 50 Cent: Adhabu ya Will Smith ni kubwa mno

Sun, 10 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kufuatia mwigizaji maarufu Duniani, Will Smith kufungiwa kwa kipindi cha miaka 10 kujihusisha na Tuzo za Oscar baada ya kumzaba kofi mchekeshaji Chris Rock, Rapa maarufu, 50 Cent ameibuka na kudai kuwa adhabu hiyo ni kubwa mno.

Kufuatia mwigizaji maarufu Duniani, Will Smith kufungiwa kwa kipindi cha miaka 10 kujihusisha na Tuzo za Oscar baada ya kumzaba kofi mchekeshaji Chris Rock, Rapa maarufu, 50 Cent ameibuka na kudai kuwa adhabu hiyo ni kubwa mno. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa ATwitter, 50 Cent ameandika “...They doing Will dirty, this is too harsh so he cant come back till he is 63 years old. And the law suit aint hit yet!" akimaanisha 'Wanamfanyia mchezo mchafu Will, adhabu hii ni kali sana, hawezi kurudi tena kwenye tuzo mopaka afikishe miaka 63. Na hapo bado sheria haijachukua mkondo wake!"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: