Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Yanga yaifuta kesi ya Kagoma

Kagoma WA0000 Rasmi: Yanga yaifuta kesi ya Kagoma

Fri, 6 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Menejimenti ya mchezaji Yusuph Kagoma imeushukuru uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said kwa kumsamehe mteja wao ili aendelee kuitumikia Klabu ya Simba.

Yanga imeondoa shauri lake dhidi ya Kagoma katika Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF ambapo mchezaji huyo alishitakiwa kwa kufanya udanganyifu baada ya kusaini pamoja na kupokea sehemu ya malipo kutoka klabu ya Yanga lakini akaenda kujiunga na Simba.

Taarifa iliyotolewa na menejimenti ya Kagoma, imethibitisha kumalizika kwa sakata hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: