Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fadlu Davids ameanza vizuri

Fadlu Pictmm Fadlu Davids

Tue, 10 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fadlu Davids kwa namna anavyoicoach timu ya Simba, ameanza na msingi wa timu ( eneo la ulinzi ), linaonekana kuimarika / kuboreka, hii itampa leseni ya kushinda mechi tena hadi kwa clean sheet zaidi.

Kocha mzuri kiufundi na ni kiongozi pia , ndio kitu cha pili ambacho nilikuwa nataka kuona coaching yake ameifanya timu kuwa na Pas Per Defensive Action ambacho ni Low Number of PPDA ili kupunguza nafasi nyingi ambazo mpinzani atahitaji kuzitengeneza.

Msimu uliopita Simba ilikuwa ni ngumu sana kupata clean sheet katika mechi zao mbalimbali , lakini Fadlu Davids amekuja na silaha / suluhisho katika hilo na mpaka sasa Simba ( inaokota clean sheet) za kutosha aisee, ana game nyingi zinamtazama nafikiri ataboresha zaidi hili na kuwa imara zaidi.

Siamini kama Fadlu Davids kama amelidhika kwa hapa alipofika, lakini bado amefanya kazi nzuri sana ( maybe board room au katika training )? Good coach aisee.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: