Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lomalisa awapa neno Yanga kuelekea Dabi ya Kariakoo

Lomalisaaa Nsta Lomalisa awapa neno Yanga kuelekea Dabi ya Kariakoo

Thu, 17 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa Beki wa kushoto wa Yanga SC, Joyce Lomalisa amewatakia wananchi kila la kheri kuelekea mchezo wa Dabi ya Kariakoo wakiwa ugenini dhidi ya Simba SC.

Lomalisa ameandika “Kila la Kheri siku ya Jumamosi ????????????”

Simba SC watajiuliza kwa mara nyingine katika Dimba la Benjamin Mkapa wakiwa na kumbukumbu chungu ya kufungwa Bao 1-0 katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: