Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama: yanga inaweza kubeba ubingwa

Aziz Chama Pacome Yanga 2 Chama: yanga inaweza kubeba ubingwa

Tue, 8 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga Sc, Clatous Chama amesema kuwa inawezekana kwa Klabu hiyo kuchukua Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Chama amesema wakati akizungumza na Yanga TV baada ya Yanga kupangwa kundi A pamoja na TP mazembe, Al Hilal na MC Alger kwenye michuano hiyo.

“Ndoto yangu kwenye michuano ya CAF ni kuchukua ubingwa wa klabu bingwa Afrika ukiacha kuwa Mfungaji Bora CAF ndoto yang kubwa ni kuchukua ubingwa wa Afrika.

“Kuvaa medali za ubingwa CAF nikiwa Yanga inawezekana kwasababu kama tunavyoona sasa hivi timu iko vizuri sana na natamani sana timu ifike finali na tutimize hiyo ndoto kama timu, ni kitu kikubwa kushinda ligi ya mabingwa,” Kiungo wa Yanga Sc, Clatous Chama.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: