Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi atoa onyo kali Ligi Kuu "tutawafunga sana"

Gamondi Dube Muda Gamondi atoa onyo kali Ligi Kuu "tutawafunga sana"

Wed, 9 Oct 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amezitahadharisha timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa zitapata 'tabu' kuwazuia wachezaji wake kufunga mabao kwa kutumia mipira ya faulo kwa sababu tayari mafunzo anayowapatia yameshaanza kufanya kazi.

Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amezitahadharisha timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kuwa zitapata 'tabu' kuwazuia wachezaji wake kufunga mabao kwa kutumia mipira ya faulo kwa sababu tayari mafunzo anayowapatia yameshaanza kufanya kazi. "Kwa sasa tumejifunza jinsi ya kupata mabao kwa njia ya faulo, kila kitu tumekifanyia mazoezi, katika ligi ya Tanzania wachezaji wanafanya faulo nyingi sana, kama zinatumiwa vizuri, tunaweza kupata mabao mengi na ndivyo ninavyofanya sasa," alisema Gamondi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: