Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Zitto Kabwe: Nipeni Simba SC kwa miezi 12

Zitto Aitaka Simba Zitto Kabwe: Nipeni Simba SC kwa miezi 12

Sun, 9 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe kupitia ukuirasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (Tweeter) akichangia mjadala una-trend hivi sasa mtandaoni kuhusu migogoro ya klabu ya Simba, ameomba kupewa klabu hiyo kwa miezi 12 tu.

Kupitia Ukurasa wake wa X (Tweeter) Zito ameandika;

"Naiomba Timu kwa miezi 12 tu kisha niwarudishie! Rejea TCD"

Je wanaweza kumpa?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: