Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yanga kuna Maxi, Azam wana Fei Toto

Maxi Nzengeli Mpia Chamazi.jpeg Kiungo wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli

Mon, 23 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Max Nzengeli ameongeza mikimbio mingi kwenye eleo la katikati ya uwanja (eneo la kiungo) ni mchezaji ambaye anafanya wachezaji wengine kupata urahisi wa kupata mtu wa kumpasia.

Max kila anapokuwa na mpira anakuwa na urahisi wa kumuona mtu anaekimbia kwenye nafasi na kumpasia. Wakati mwingine hata akipasiwa mpira mgumu anaweza kuufanya kuwa mwepesi kwa timu kuendelea kucheza.

Lakini ongezeko la Fei toto kwa upande wa Azam linaweza kuongeza athari chanya kwa upande wa Azam FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: