Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wydad waanza safari kuifata Simba Dar

Wydad Safariiii Wydad waanza safari kuifata Simba Dar

Fri, 15 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Wydad kimeanza safari leo Desemba 15 kuifuata Simba Tanzania kwa ajili ya mchezo wa nne hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)

Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Desemba 19, 2023 katika Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.

Wydad ilipata ushindi wa kwanza baada ya kuichapa Simba bao 1-0 uwanja wa Marrakech, Morroco na kupanda hadi nafasi ya tatu na pointi tatu huku simba ikiwa mkiani na pointi mbili

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: