Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wlison Oruma: Sijaridhishwa na kiwango cha Simba, Wachezaji wajitathmini (+Video)

Oruma X Chama Wlison Oruma: Sijaridhishwa na kiwango cha Simba, Wachezaji wajitathmini

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi wa soka, Wilson Oruma ametoa tathmini yake baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Power Dynamos uliomalizika Kwa sare ya 1-1.

Amesema hajaridhishwa na kiwango walichoonyesha wachezaji wa Simba na hivyo wanatakiwa kujitathmini kwani wapo kwenye mashindano makubwa na magumu.

Msikilize Oruma hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: