Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wilson Oruma: Muda wa Chama Simba umekwisha

Oruma X Chama Wilson Oruma amzungumzia Clatous Chama

Mon, 17 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati sakata wa Clatous Chama na Simba likichukua sura mpya kila kukicha, mchambuzi wa michezo kutoka EFM, Wilson Oruma ametoa maoni yake kitaalamu kuhusiana na sintofahamu ya mchezaji huyo na Klabu ya Simba.

Akizungumza Oruma amesema;

"Huu ni msimu ambao Simba wanapaswa kuonyesha wanaweza Kuishi bila Chama. Anawasumbua Kila msimu kwa sababu anajua hawawezi Kuishi bila yeye. Na hiki ni Kitu Kibaya sana kwa team kubwa kama Simba SC. Ni mchezaji mzuri sana, Lakini Muda wake Simba Umekwisha. "

Je Mwanamsimbazi una lipi la kuzungumzia kauli ya mzee wa jambia?Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: