Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wilson Oruma: Kuna uzembe katika goli walilofungwa Simba (+Video)

Oruma Wilson Wilson Oruma

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa mkondo wa pili wa Robo Fainali ya Michuano ya Afrcan Football League.

Matokeo ya jumla ya mechi zote 2 ni magoli 3-3 na Simba ikajikuta inaondolewa kwa faida ya bao la ugenini.

Simba walipata bao katika mchezo wa jana lakini makosa madogo katika kujilinda walijikuta wanaruhusu bao la kusawazisha kwa Ahly.

Sasa Wilson Oruma anasema kulikuwa na uzembe katika bao waliloruhusu Simba na kuwagharimu kwa kiasi kikubwa.

Msikilize Oruma akieleza Kitaalamu hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by TVE ???? (@tvetanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: