Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wawili Simba Queens wapewa "Thank you"

Thank You Simba Queens Mastaa Simba Queens wazidi kupewa Thank you

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Queens kwa mara nyingine tena imeachana na nyota wake wawili mahiri.

Topister Situma na Philomena Abakah hawatakuwa katika kikosi cha Simba msimu ujao baada ya mikataba yao kumalizika.

Siku mbili zilizopita Simba Queens ilitangaza kuachana na Straika wake Jentrix Shikangwa alietimkia China.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: