Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usiemtaka kaja, Inonga arudi kikosini Simba SC

Inonga Mazoezini Usiemtaka kaja, Inonga arudi kikosini Simba SC

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Simba SC, Raia wa DR Congo Henock Inonga Bacca ameonekana katika mazoezi ya kikosi cha Simba kinachoajiandaa na mchezo wa mwisho wa kumaliza msimu dhidi ya JKT Tanzania.

Inonga ambae amezua utata mkubwa Mkataba wake dhidi ya Simba akionekana anataka kuondoka alitajwa kutimkia Ufaransa na hakuonekana kwa wiki kadhaa kikosini.

Inonga na Simba wanatajwa kuvutana katika suala la Mkataba, Klabu ikimtaka abaki huku yeye akisisitiza kuachwa aondoke.

Simba inacheza mchezo wake wa mwisho leo Jumanne Mei 28 dhidi ya JKT Tanzania, Je atapata nafasi ya kuanza mchezo wa leo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: