Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Usajili mpya wamuibua Benchikha

Benchikha Mapinduzi.jpeg Usajili mpya wamuibua Benchikha

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Mkuu wa Simba SC, Abdelhak Benchikha amesema usajili ambao wameufanya unakwenda kurudisha makombe ambayo waliyapoteza katika katika kipindi cha msimu miwili

"Tumeanza mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kwenye ligi kuu pamoja na CAF Champions League, Tumefanya usajili nimeona Simba SC ya kesho ni nzuri kwa mashabiki na kwa wapenzi wote wa klabu."- amesema Benchikha.

Kikosi cha Simba SC kimeshaingia kambini tayari kwa maandalizi ya michezo ya ligi kuu Tanzania Bara na Klabu bingwa barani Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: