Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Unadhani Benchikha anamwambia kitu gani Cadena?

Cadena X Benchikha Unadhani Benchikha anamwambia kitu gani Cadena?

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu mpya wa Simba Abdelhak Benchikha leo asubuhi amekutana kwa mara ya kwanza na benchi la ufundi la Simba ambalo lipo chini ya Mwalimu Daniel Cadena.

Cadena alishika wadhifa huo mara tu baada ya kuondoka kwa Robertinho na kuiongoza Simba katika michezo miwili ambayo yote walipata sare dhidi ya Namungo na kisha kutoa sare na ASEC Mimosas.

Unadhani kwa mara ya kwanza walipokutana, Benchikha alimwambia neno gani Cadena?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: