Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ujio wa Kocha mpya Simba unadhani aanzie wapi?

Benchikha Simbaaa Benchi jipya la ufundi Simba SC

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Kocha Mkuu Mpya wa Simba SC, Abdelhak Benchikha kuwasili nchini akiwa na Kocha Msaidizi, Farid Zemiti pamoja na Kocha wa Viungo, Kamal Boudjenane.

Unashauri waanze na kipi katika kuiboresha zaidi Simba SC ambayo kwa sasa inaonekana kuvurigika kuanzia ndani ya uwanja mpaka kwa mashabiki?

Wakati ukitafakari hilo tambua Simba wana mchezo mgumu ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy hatua ya makaundi Ligi ya Mabingwa Afrika Disemba 2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: