Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uajili wa kushtua Simba SC

Shaaban Chilunda Shaaban Chilunda

Wed, 19 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Chanzo makini kutoka ndani ya Simba kimenidokeza sababu zimewashawishi benchi la Ufundi la Simba kufanya usajili wa kushtukiza wa nyota wa zamani wa Azam na Taifa Stars, Shaaban Chilunda.

Jambo la kwanza lilioishawishi Simba kumsajili hofu ya majeraha hasa Bocco na Moses Phiri ambayo msimu uliopita yalichangia wakose idadi kubwa ya mechi na hivyo wanaamini kama huyu atakuwa fiti anaweza kuziba.

Jambo la pili ni uzoefu alionao wa mashindano ya ndani na mazingira ya soka la Tanzania ambao ameupata kwa kucheza muda mrefu Azam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: