Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuzo ya Mashabiki AFL yatua Msimbazi

AFL TUZO Tuzo ya Mashabiki AFL yatua Msimbazi

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tuzo ya Mashabiki Bora wa michuano ya Kombe la Afrika (AFL) 2023 ambayo klabu ya Simba ilishinda na kukabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Bodi ya klabu hiyo Salim Try Again @salim_tryagain mbele ya Rais wa FIFA, Rais wa CAF na viongozi wengine wakubwa wa soka duniani imefika nchini na tayari ameikabidhi kwa Mtendaji Mkuu, @imani_kajula mbele ya Mwenyekiti wa klabu hiyo, Murtaza Mangungu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: