Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Tuwaache Kapombe, Manula na Tshabalala wapamabane kwa uwezo wao

Kapombe Na Tshabalala Mohamed Hussein Tuwaache Kapombe, Manula na Tshabalala wapamabane kwa uwezo wao

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni Jambo gumu sana kuamini kuwa Shomari kapombe kuwa amechoka, ameshuka kiwango, Tatizo la watu wengi wa Soka wanataka Shomari Kapombe afanye kama anavyofanya Yao Kouassi kitu ambacho kiuhalisi ni kigumu, Kapombe ana aina yake ya Uchezaji ndiyo iliyomfikisha hapo, Suala la Yao nae ameleta kitu kipya yawesekana ndicho kinatofautisha”

Hii ilitokea hata kwa Aishi Manula wengi kuamini kuwa amechoka na ameshuka kiwango ila tatizo lilikuwa ni kumfananisha na Djigui Diarra, Sio kila Mchezaji anastahili kufananishwa nae hata kama position zao zinalingana, ni kuwapa Mizigo Mikubwa wachezaji wetu wazawa mwisho wa siku Tutawastaafisha Mapema”

Leo hii Utulivu mkubwa alio nao Lomalisa wengi wanataka awe nao Zimbwe, sio kweli kila mchezaji ana asili na style ya Uchezaji wake na Njia zake alizopita za soka mpaka kufikia hapo, Zimbwe ni yule yule wa jana na juzi tumuache afanye kazi yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: