Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Timu kubwa inacheza, Taifa lipo salama

Simba Kikosi Kwenda Misri Timu kubwa inacheza, Taifa lipo salama

Tue, 24 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michuano ya African Football League inaendelea hii leo, Simba inashuka dimbani kuikabili Al Ahly katika dimba la Cairo nchini Misri.

Mchezo wa awali ulimalizika kwa sare ya kufungana goli 2-2 uwanja waTaifa, leo Simba inahitaji ushindi au sare kuanzia magoli 3-3 ili ifuzu hatua inayofuata ya nusu fainali.

Ikitokea sare ya 2-2 italazimika kuchezwa mikwaju ya penalty, kama ikitokea sare ya 0-0 au 1-1 Simba itakuwa imeondoshwa rasmi kwa tofauti ya goli la ugenini.

Mnyama unguruma, umebeba bendera ya nchi

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: