Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TUZOZATFF: Saido anyakua Tuzo ya Kiungo Bora Ligi Kuu ya NBC

IMG 4294 Saido.jpeg Kiungo Bora Ligi Kuu ya NBC, Saido Ntibazonkiza

Tue, 13 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Kiungo Bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23.

Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibazonkiza amechaguliwa kuwa Kiungo Bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/23. Saido amejiunga na Simba katika dirisha dogo la Januari akitokea Geita Gold amefunga mabao 17 na kutoa pasi 12 za mabao msimu wa 2022/23.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: