Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri

Phiri Robertinho TETESI: Simba kutemana na Moses Phiri

Wed, 16 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi zinasema uwezekano ni mkubwa wa Uongozi wa klabu ya Simba ukaachana na Mshambuliaji wao raia wa Zambia Moses Phiri.

Mazungumzo ya pande zote Juu ya kuuvunja mkataba wa Mwaka Mmoja Uliosalia yameshafikiwa.

Moses Phiri amekuwa akikosa nafasi ndani ya kikosi cha Simba chini ya Robertinho jambo linalowaibua Mashabiki kupigia kelele jambo hilo.

Mara zote Kocha Robertinho amekuwa akisema hana tatizo na Phiri na anamuhitaji katika kikosi chake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: