Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Simba kujibu mapigo kwa Azam FC, wapanga kubeba winga huyu

Ayoub Lyangaaaa Ayoub Lakred

Thu, 9 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa klabu ya Azam FC Ayoub Lyanga amegoma kuongeza mkataba mpya ndani ya klabu hiyo.

Mkataba wa Ayoub Lyanga unamalizika mwisho wa msimu huu ambapo Azam FC inatajwa bado walikuwa na uhitaji na nyota ambaye bado ameweka vikwanzo kusalia Azam FC.

Matajiri wa Kariakoo Simba SC wanatajwa kumvuta mezani Ayoub Lyanga ambaye imemwandalia ofa ya Tsh Millioni 200 kama ada ya usajili na mshahara wa Tsh Millioni 10 kwa mwezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: