Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

TETESI: Manula kutimkia Singida Black Stars?

Aishi Manula Back.jpeg Aishi Manula

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea msimu ujao wa ligi inasemekana huenda Mlinda lango wa sasa wa klab ya Simba Aishi Manula akajiunga na klab ya Singida Black Stars (Ihefu SC) katika dirisha kubwa la Usajili.

Kuelekea msimu ujao wa ligi inasemekana huenda Mlinda lango wa sasa wa klab ya Simba Aishi Manula akajiunga na klab ya Singida Black Stars (Ihefu SC) katika dirisha kubwa la Usajili. Manula amekuwa nje ya kikosi cha Simba kwa muda mrefu akisumbuliwa na majeraha huku Golikipa Ayoub Lakred na Ally Salim wakiziba vyema pengo lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: