Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sven: Sio mwingine bali mimi

IMG 6326.jpeg Kocha wa zamani wa klabu ya Simba Sven Vandenbroeck

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa kocha wa Simba ameandika maneno kwenye Insta Story yake ikionesha kama kuna dalili za kurejea Msimbazi.

Sven Vandenbroeck ameandika "Nobody but me" akimaanisha hakuna mwingine zaidi yake.

Maneno hayo yanakuja wakati Simba inatafuta kocha, ambapo Sven ni mmoja wa wanaotajwa kuwa huenda akakabidhiwa mikoba hiyo.

Vipi mwananyulasi mwamba arejee?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: