Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yawarudisha Al Ahly CAF

Simba Mashabiki 9 Instagram Simba yawarudisha Al Ahly CAF

Thu, 21 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Ahly SC imetuma maombi Kwa Viongozi wa CAF wakiwa na lengo la kuomba kuongezewa idadi kamili ya mashabiki uwanjani Yaaani "Full house" dhidi ya Simba SC katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/24 mjini Cairo.

Ikumbukwe CAF iliweka pingamizi kwa Mashabiki wa vilabu vya Misri Kuingia Uwanjani kufatana na Mwenendo mbaya wa Matukio wa Mashabiki hao kwa Wageni Lakini badae wakaruhusiwa kuingiza idadi ndogo tu.

Mchezo wa mkondo wa pili Baina ya Al Ahly na Simba utachezwa Aprili 5 Jijini Cairo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: