Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yatoa pole kwa waafa wa mafuriko Hanang

Simba Yatoa Pole Simba yatoa pole kwa waafa wa mafuriko Hanang

Mon, 4 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa Simba SC leo Desemba 4 umetoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao katika maporomoko ya matope yaliyotokea jana wilayani Hanang mkoani Manyara.

Hadi kufikia leo asubuhi vifo 49 vimeripotiwa na Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga huku majeruhi wakiwa 85.

"Simba inaungana na Watanzania wote kuomboleza vifo vya wenzetu waliotangulia pamoja na kuwaombea majeruhi wapone haraka," imeeleza taarifa ya Simba

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: