Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yakodi ndege kuwafuata Jwaneng Galaxy Botswana

Simba Ndege Simba yakodi ndege kuwafuata Jwaneng Galaxy Botswana

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kikosi cha Simba SC, kinatarajia kuondoka nchini Ijumaa ya Desemba Mosi kwa ndege ya kukodi kuelekea nchini Botswana kwenye mchezo wa pili wa makundi ya CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.

Kikosi kitaondoka Ijumaa mapema kuelekea moja kwa moja kwenye mji utakaochezwa mchezo huo, mji wa Francistown baada ya uwanja waliokuwa wanatumia awali pale Gaborone kufungiwa.

Mchezo huo utachezwa katika uwanja wa Obert Itani Chilume Stadium ambao upo Francistown, ambapo Simba SC baada ya mchezo watarejea Dar Es Salaam kwa ajili ya maandalizi ya mchezo mwingine wa ugenini dhidi ya Wydad Casablanca.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: