Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yakimbiza Timu yenye wafuasi wengi Mitandaoni Afrika Mashariki

Simba Wawaita Mashabiki Kwa Mkapa 'kumuua' Mwarabu.jpeg Simba yakimbiza Timu yenye wafuasi wengi Mitandaoni Afrika Mashariki

Tue, 7 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba ndiyo yenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii kwa upande wa Afrika Mashariki.

Timu hiyo inakaribia wafuasi milioni 11, kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram, YouTube, na TikTok.

Kwa mujibu wa utafiti wa TRT Afrika, Simba imejizolea wafuasi wengi mtandaoni na kuwa kati ya timu tano bora Afrika zenye idadi kubwa ya wafuasi kwenye mtandao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: