Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yakalisha vigogo wote Afrika

Mashabiki Simba Kwa Mkapa Simba yakalisha vigogo wote Afrika

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Simba SC imeshika namba 1 Afrika miongoni mwa timu zenye ushawishi mkubwa katika mtandao wa Instagram kwa mwezi Oktoba.

Kwenye orodha hiyo 5 bora imeshikwa na Simba Sc, Wydad Casablanca ya Morocco, Al Ahly ya Misri, Yanga SC ya Tanzania, Raja Casablanca ya Morocco.

Chati nima imesimama hivi;

1. Simba SC 9.59M

2. Wydad Casablanca 7.80M

3. Al Ahly SC 6.89M

4. Yanga SC 6.44M

5. Raja Casablanca 5.20M

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: