Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaichapa Prisons Sokoine, yajikita kileleni

Bocco Vs Prison.jpeg Mfungaji wa bao la pili la Simba, John Bocco

Thu, 5 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons na kuchukua pointi tatu zikiwapandisha kileleni msimamo wa Ligi Kuu kwa pointi 12 kwenye mechi nne ilizocheza ikiwaacha Azam pointi 10 na Yanga 9.

Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons na kuchukua pointi tatu zikiwapandisha kileleni msimamo wa Ligi Kuu kwa pointi 12 kwenye mechi nne ilizocheza ikiwaacha Azam pointi 10 na Yanga 9. Mabao ya Simba yamefungwa na Clatous Chama, John Bocco kipindi cha kwanza na la mwisho limefungwa na Saido Ntibazonkiza kwa mkwaju wa penalti huku la Prisons likifungwa na Edwin Barua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: