Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yafukuzia rekodi ya Yanga

Simba Mtibwa Sds Simba yafukuzia rekodi ya Yanga

Fri, 18 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Kuanza na ushindi wa 4-2 siku ya jana katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ???????? dhidi ya Mtibwa Sugar , pia klabu ya Simba imeendeleea ilipoishia msimu uliopita kwa rekodi yao ya kutokupoteza mchezo wowote ndani ya Ligi kuu .

Na mpaka sasa klabu ya Simba imecheza michezo 24 pasipo kupoteza mchezo wowote ule.

Simba ikiendelea kuifukuzia rekodi ya wapinzani wao Yanga ya kutokupoteza mchezo wowote ndani ya michezo 49 mfululizo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: