Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba yaendelea kuigaragaza Yanga Kimataifa

Simba Vs Yanga Kibu DD.jpeg Simba yaendelea kuigaragaza Yanga Kimataifa

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kabla ya kuanza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) kwa msimu huu wa 23/24,

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) wametoa viwango vya ubora kwa ngazi ya vilabu barani Afrika, Hizi hapa klabu 10 bora.

1. Al Ahly (83 points)

2. Wydad AC (74 points)

3. ES Tunis (56 points)

4. Mamelodi Sundowns (51 points)

5. Raja Club Athletic (51 points)

6. Zamalek SC (39 points)

7. RS Berkane (37 points)

8. CR Belouizdad (36 points)

9. Simba SC (35 points)

10. Pyramids FC (35 points)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: