Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wavunja ukimya, Ahmed Ally atoa kauli nzito

Ahmed Ally Xxx Ahmed Ally, Ofisa Habari wa Simba SC

Thu, 13 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kimya kirefu msemaji wa Klabu ya Simba Ahmed Ally (Semaji), ameamua kuvunja ukimya, akiwaasa wanasimba kuwa makini na taarifa za mitandaoni.

"Wana Simba tuwe makini na taarifa za mitandaoni zenye lengo la kuzua taharuki ndani ya klabu yetu na kutugombanisha baina yetu"

"Muhimu hivi sasa ni kusimama pamoja na timu yetu na kuwapa ushirikiano viongozi wetu ili wasimamie kwa ufanisi zoezi la usajili na kuandaa timu bora kwa msimu ujao"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: