Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba watua kwa Straika wa Asante Kotoko

IMG 20221031 1853562 1 Steven Mukwala

Wed, 19 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na nyota wa Asante Kotoko ya Ghana Steven Mukwala raia wa Uganda Kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Msimbazi.

Klabu ya Simba ipo kwenye mazungumzo na nyota wa Asante Kotoko ya Ghana Steven Mukwala raia wa Uganda Kwa ajili ya kujiunga na miamba hiyo ya Msimbazi. Inaelezwa kuwa Simba SC wameweka mezani mkataba wa miaka miwili Kwa dau la USD 130,000 sawa na zaidi ya Tsh million 339 huku mshahara ukiwa ni USD 9000 sawa na Tsh million 20 Kwa mwezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: