Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Simba wapewa Al Ahly Robo Fainali CAF, watatoboa?

Simba Vs Ahly Simba wapewa Al Ahly Robo Fainali CAF, watatoboa?

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilisha wa Tanzania kunako Ligi ya Mabingwa Afrika, Timu ya Simba SC imepangwa na Klabu ya Al Ahly kutoka Congo hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.

Simba kwa miaka minne sasa imekuwa ikikomea hatua ya Robo Fainali na huenda safari hii wakafanya kweli.

Michezo ya Mzunguko wa kwanza itapigwa kati ya Machi 29-30 Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam huku michezo ya mkondo wa Pili ukupigwa kati ya April 5-6 Jijini Cairo.

Je unawaoana Simba wakitoboa hatua ya Nusu Fainali? Tupe maoni yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: